Special Christmas mix 2010 / 2011
napendwa kuwatakia krismas njema wapendwa wote wa blog hii, nanitapendelea
tuburudike pamoja na hiyo mix hapo juu ucheze mpaka basi
unaitaji juice tuu ama ata kawine chako sio mbaya then mzuka unaanza
mpaka asubuhi amna kulaaala .talaaa
I Want U Now -by Gin ideal ft V-6 video Stunner Pics.webm
east africa song [kenya ] ooohh cheza aaaa
CLOUDSFM IMETIMIZA MIAKA ''12'' TANGU KUANZISHWA KWAKE
hawa ni wanakipindi cha Leo Tena katka cloudsfm radio ya watuuuuu na baadhi ya wageni walioudhulia hafla hio . 
mi naitakia cloudsfm iwezekusonga mbele zaidi na zaidi .....Love Cloudsfm
sikiliza live popote duniani ;- http://www.cloudsfm.co/
Subscribe to:
Comments (Atom)