KATKA HII DUNIA KUNAVITU VINGI WATU HUVUTIWA NAVYO ILA PATA PICHA








Jamani hakuna sehemu ambayo napenda kama nikiwa nimerelax then pembeni kuwe na picha ya garden nzuri [green ] au waterfall ooh  napenda kweli na najua kila mtu huwa anamapendekezo yake ktka moyo wake nijambo gani/au kitu gani huwa kinamfanya awe ametulia akili/roho anapotaka ku relax ooh mwengine muzic taratibu ,au makelele ilimradi uwe unafurahia mwenyewe  au sehemu anyokuwa ni vizuri pia kwani inapunguza strees pia kwani katka aslimia watu wengi huwa wanapata matatizo so mi nashauri suruhisho ni kuangalia unapenda kitu gani ? so hilo ndo suruhisho lako iliuweze kuwa relax na ndo hivo maisha yanaenda  asante kwa kuwa nami till next time  thanks x

No comments: