ni ndani ya wilaya ya TMK mbagala ni ukumbi wa burudani kwa watoto wakubwa
watoto watafurahi na michezo mbalimbali , huku wazazi nao wakiburudika na
na taarabu na mizik ya kizazi kipya ikiongozwa na Tundaman ,Madee,Dogojanja ,Richard.
bila kusahau mzee Gurumo ,Shabani dede.