Nadhani si kitu cha ajabu mtu kupenda kunawatu wanapenda vitu mbalimbali labda mwingine Nyumba ,Gari ,Music, Fashion cloth, for me ooh i love nyumba, music si yotee. nakingine fashion cloth sababu asikwambie mtu akuna mtu ambaye anapenda kutembea hajapendeza so kwamba mpaka uvae designer cloth ndo upendeze noo nguo tu yoyote ili mradi uwe comfortable.so ni vitu vingi ila kwa leo tuishie hapo .
No comments:
Post a Comment