This Is me

Nimerudi tena baada tz kuwa kimya kwa mda nitakuwz najaribu kupost habari , sio taarifa za habari Noo kwa kuwa mie sio mwandishi wa habari Ni . I have this blog its only because I like to design that's why I creat this nice colourfully blog so karibu . Kama unamawazo tofauti pia unaweza kuchangia mawazo kwa kuwa watu Huwa tunajifunza kupitia sisikwa sisi kwa kuwa watu sie sie 100% kwambia Najua kila kitu noo . Thanks na karibunii sanaaa

KATKA HII DUNIA KUNAVITU VINGI WATU HUVUTIWA NAVYO ILA PATA PICHA








Jamani hakuna sehemu ambayo napenda kama nikiwa nimerelax then pembeni kuwe na picha ya garden nzuri [green ] au waterfall ooh  napenda kweli na najua kila mtu huwa anamapendekezo yake ktka moyo wake nijambo gani/au kitu gani huwa kinamfanya awe ametulia akili/roho anapotaka ku relax ooh mwengine muzic taratibu ,au makelele ilimradi uwe unafurahia mwenyewe  au sehemu anyokuwa ni vizuri pia kwani inapunguza strees pia kwani katka aslimia watu wengi huwa wanapata matatizo so mi nashauri suruhisho ni kuangalia unapenda kitu gani ? so hilo ndo suruhisho lako iliuweze kuwa relax na ndo hivo maisha yanaenda  asante kwa kuwa nami till next time  thanks x

FEROOZ NA SHAZ Baada ya Muda Mrefu Kukaa Kimya Amerudi Tena Kwenye Game Kitaani zaidi Nyimbo iko Poa aaaa

SHEREHE ZA TUZO KUPITIA NYANJA ZA SINEMA KTK PICHA






HIZI SHEREHE ZILIANZA TOKE ENZI IZO  MAY,16,1929 HATA MIE DUU BADO SIJAZALIWA NA HATA SIFIKIRIWI KUZALIWA ILA UONE JINSI HAWA WATU WANAVYO KUWA WAPO NA MSIMAMO KATK MAMBO KAMA HAYA HAWAKUWAHI KUACHA HADI 2012 IMEFIKISHA MIAKA 84TH AWA OSCA RS AWARD KAZI NZURI KWELI .NA HONGERA ZAO PICHA HAPONI BAADHI YA MASTAA WA MAREKANI WALIOUDHULIA KATKA SHEREHE HIZO .

Kujua Make-up Inayoendana na Uso Mrefu [LONG FACE]


moja ya mak-up ambayo itaendana na mtu mwenye uso mrefu nkwa  kutumia bronze au brusher hiyo itafanya kufupisha uso na uepuke kupaka kwemashavu badala yake unaapply cremeblend brush kwa kutumia bkidole chakona uiblend  utaona matokeo yake ni nzuri sana .naautaacha kutumia


moisturising bronze powder

creme blendbrush

Women Cerebration 3 MARCH WAHI TICKET YAKO HUJACHELEWA

 Wanawake lazima Tujumuike pamoja jamani wakati ni  huu wahi ticket yako we shogayo.;Ticket zinapatikana ;8020fashion[sinza mori
                        - Viatuzi [upanga sea view]
                           -Rozella fashion[kinondoni muslim]
                              -Desert salon [kinondoni kwa manyanya
                                -Shear illusion [mlimani city]
DRESS CODE NI KHANGA





yes

best dress week HII








Nadhani si kitu cha ajabu mtu kupenda kunawatu wanapenda vitu mbalimbali labda mwingine Nyumba ,Gari ,Music, Fashion cloth, for me ooh i love nyumba, music si yotee. nakingine fashion cloth sababu asikwambie mtu akuna mtu ambaye anapenda kutembea hajapendeza so kwamba mpaka uvae designer cloth ndo upendeze noo nguo tu yoyote ili mradi uwe comfortable.so ni vitu vingi ila  kwa leo  tuishie hapo .                         




OOH MY MY WHITNEY HOUSTON'S DIES . SAD



ilove whitney houstons ni mwimbaji wa US , OOH GOD I JUST WAKE-UP TODAY AND OPEN MY PC THE FIRST HEAD LINE NEWS TO SAW WAS .THIS OOH I WAs like oooh nooo ,nampendaga sana whitney houston sana nikisikia mwimbo alioimmba I WILL ALWAYS LOVE U OOH . R.I.P WTY

Tunamaliza mwezi wa kwanza 2012



JINSI YA KUTUNZA NYWELE ZA WATOTO.mfano:-picha ya mtoto hapo juu nywele zake zime kuwa vizuri
kutokana na kutunzwa vizuri ; najua ni vigumu mtoto kutunza nywele zake ila ni wajibu kama mzazi mlezi, unahakikisha ,
unaosha nywele za mtoto kila baada ya one wiki , ama umechelewa sana two wiki iliziote vizuri kabisa .
hata mtoto mwenyewe ataisikia vizuri na kuwa nafuraha .
all u need ni shanuo ,mafuta ya watoto ya nywele mazuri hata , ya nazi, oliver oil , hair dryer
HIVI VYOTE NDIO UNAITAJI