This Is me
Nimerudi tena baada tz kuwa kimya kwa mda nitakuwz najaribu kupost habari , sio taarifa za habari
Noo kwa kuwa mie sio mwandishi wa habari Ni . I have this blog its only because I like to design that's why I creat this nice colourfully blog so karibu . Kama unamawazo tofauti pia unaweza kuchangia mawazo kwa kuwa watu Huwa tunajifunza kupitia sisikwa sisi kwa kuwa watu sie sie 100% kwambia Najua kila kitu noo . Thanks na karibunii sanaaa
KATKA HII DUNIA KUNAVITU VINGI WATU HUVUTIWA NAVYO ILA PATA PICHA
Jamani hakuna sehemu ambayo napenda kama nikiwa nimerelax then pembeni kuwe na picha ya garden nzuri [green ] au waterfall ooh napenda kweli na najua kila mtu huwa anamapendekezo yake ktka moyo wake nijambo gani/au kitu gani huwa kinamfanya awe ametulia akili/roho anapotaka ku relax ooh mwengine muzic taratibu ,au makelele ilimradi uwe unafurahia mwenyewe au sehemu anyokuwa ni vizuri pia kwani inapunguza strees pia kwani katka aslimia watu wengi huwa wanapata matatizo so mi nashauri suruhisho ni kuangalia unapenda kitu gani ? so hilo ndo suruhisho lako iliuweze kuwa relax na ndo hivo maisha yanaenda asante kwa kuwa nami till next time thanks x
SHEREHE ZA TUZO KUPITIA NYANJA ZA SINEMA KTK PICHA
HIZI SHEREHE ZILIANZA TOKE ENZI IZO MAY,16,1929 HATA MIE DUU BADO SIJAZALIWA NA HATA SIFIKIRIWI KUZALIWA ILA UONE JINSI HAWA WATU WANAVYO KUWA WAPO NA MSIMAMO KATK MAMBO KAMA HAYA HAWAKUWAHI KUACHA HADI 2012 IMEFIKISHA MIAKA 84TH AWA OSCA RS AWARD KAZI NZURI KWELI .NA HONGERA ZAO PICHA HAPONI BAADHI YA MASTAA WA MAREKANI WALIOUDHULIA KATKA SHEREHE HIZO .
Kujua Make-up Inayoendana na Uso Mrefu [LONG FACE]
moja ya mak-up ambayo itaendana na mtu mwenye uso mrefu nkwa kutumia bronze au brusher hiyo itafanya kufupisha uso na uepuke kupaka kwemashavu badala yake unaapply cremeblend brush kwa kutumia bkidole chakona uiblend utaona matokeo yake ni nzuri sana .naautaacha kutumia
![]() |
moisturising bronze powder |
![]() |
creme blendbrush |
best dress week HII
Nadhani si kitu cha ajabu mtu kupenda kunawatu wanapenda vitu mbalimbali labda mwingine Nyumba ,Gari ,Music, Fashion cloth, for me ooh i love nyumba, music si yotee. nakingine fashion cloth sababu asikwambie mtu akuna mtu ambaye anapenda kutembea hajapendeza so kwamba mpaka uvae designer cloth ndo upendeze noo nguo tu yoyote ili mradi uwe comfortable.so ni vitu vingi ila kwa leo tuishie hapo .
Tunamaliza mwezi wa kwanza 2012
paper art work dress
this is a paper dress made by phonebook paper amazing Woow?? i just love design ,ila this one made by jolis paons ooh fantastic job .
duu artwork unajua ni natural mtu anakuwa nakipaji oooh love art love thinker
Dar Live ni Live

ni ndani ya wilaya ya TMK mbagala ni ukumbi wa burudani kwa watoto wakubwa
watoto watafurahi na michezo mbalimbali , huku wazazi nao wakiburudika na
na taarabu na mizik ya kizazi kipya ikiongozwa na Tundaman ,Madee,Dogojanja ,Richard.
bila kusahau mzee Gurumo ,Shabani dede.
Subscribe to:
Comments (Atom)